For Source

CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Jamani, hivi hawa watu wa ubongo wa flava hawawezi kutunga nyimbo zisizo za mapenzi? nani hajui kutongoza au mapenzi wanayemfundisha? Kama wanyama kama mbuzi, kondoo, mbwa,ng'ombe hata wadudu wanajua kutongoza itakuwa kwa binadamu anayeweza kuongea? labda wameona wabongo ni machizi wa mapenzi!

    ReplyDelete
  2. Baba UbayaApril 03, 2010

    anony hapo juu acha kulialia juu ya nyimbo za mapenzi.hao wanamuziki wa ughaibuni,Sebene,Jazz,n.k wanaimba nyimbo za mapenzi kila leo itakuwa hao wa bongo flava?labda wanaona zinalipa je?waache na ajira zao.
    Pini lime2lia eniwei.........

    ReplyDelete
  3. Hili pini limesimama,ingawa huwa sisikii vizuri maneno wanayoimba....good colabo

    ReplyDelete
  4. NYIMBO NYINGI ZINAZOIMBWA DUNIANI NI ZA KUHUSU MAPENZI ASILIMIA KARIBU 99% NI CHACHE SANA ZINAIMBA MAMBO MENGINE NA NI WANAMUSIKI WACHACHE SANA WWENYE INTEREST NA NYIMBO ZA MAMBO MENGINE MMOJA WAPO ALIKUWA JACKO WACKO AMBAYE ALIKUWA NA KIPAJI CHA KUIMBA NYIMBO ZA MAMBO MENGINE, LAKINI HADI SASA ASILIMIA KUBWA ZA NYIMBO NI ZA MAPENZI KWA NAMNA MOJA HADI NYINGINE NA UNATAKIWA KUJUWA KUWA MUSIC NI BIASHARA NA NI KAZI SO WATU HUWA WANATAFUTE NICHE INAYOLIPA NA WAPENZI WENGI WA MUSIKI HUPENDA ZA MAPENZI, LABDA WAZEE WA CCM NDO WATAPENDA ZA SIASA LAKINI MUSIC MAANA YAKE MAPENZI, SO STOP MOANING ABOUT LOVE SONGS. THAT IS HOW IY GOES MAN.

    ReplyDelete
  5. WEWE UNATAKA WAIMBE KILIMO KWANZA? AU KILIMO UTI WA MGONGO?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...