Mazishi ya msanii wa muziki Diana Aston Villa aliyefariki jana asubuhi katika Hospitali ya Amana jijini Dar alikokuwa amelazwa anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwa baba yake Kigogo Mbuyuni jijini Dar wikiendi hii.
Diana Aston Villa atakumbukwa katika sanaa ya muziki hasa katika unenguaji ambapo alitumikia bendi kadhaa nchini na nchi za Ghuba ya Uajemi zikiwemo Diamond Musica enzi hizo, Twanga Pepeta na pia aliwahi kufanya kazi na Mr Nice aliyewika sana miaka ya hivi karibuni.
Mungu ailaze mahali pema peponi roho
ya marehemu Diana Aston Villa -AMIN
How sad..? Her musical legacy will be remebered in Tanzanian music history. God bless her son and her baba mtoto wake, Mr. Nice.Amen.
ReplyDeleteR.I.P.
RIP kweli tutamiss kunengua kwako. kamichu amekuwa akini block sana siku hizi basi naanza kupunguza kuja saa zingine anaudhi kweli hata wakati kama huu wa msiba.
ReplyDeleterest in peace.Amen.
ReplyDeletePoleni wafiwa Ndio mwisho wetu Binadamu hamna kitu .
ReplyDeleteBy Uledi
Michuzi wee mchokozi:-) teh teh teh,
ReplyDeleteenwys R.I.P Aston Villa nilikuwa nafuatilia sakata lake zima kabla ya kifo chake ``Global Publishers`` ´´http://en.wikipedia.org,WAKE UP AFRICA
/wiki/List_of_countries_by_HIV/AIDS_adult_prevalence_rate :
ITS TIME TO SPEAK OUT THE TRUTH.
http://www.youtube.com/watch?v=lh1JfyhbrOU
nawapa pole sana wafiwa mungu awajaze nguvu. pia napenda kumpa pole mpenzi wake wa zamani ambaye pia ni mzazi mwenzake bwana Mkenda au Mr Nice. poleni sana jamani lakini sote tu safarini tunapishana siku tu
ReplyDelete