Marehemu Diana Aston Villa

Mazishi ya msanii wa muziki Diana Aston Villa aliyefariki jana asubuhi katika Hospitali ya Amana jijini Dar alikokuwa amelazwa anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwa baba yake Kigogo Mbuyuni jijini Dar wikiendi hii.
Diana Aston Villa atakumbukwa katika sanaa ya muziki hasa katika unenguaji ambapo alitumikia bendi kadhaa nchini na nchi za Ghuba ya Uajemi zikiwemo Diamond Musica enzi hizo, Twanga Pepeta na pia aliwahi kufanya kazi na Mr Nice aliyewika sana miaka ya hivi karibuni.
Mungu ailaze mahali pema peponi roho
ya marehemu Diana Aston Villa -AMIN


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. How sad..? Her musical legacy will be remebered in Tanzanian music history. God bless her son and her baba mtoto wake, Mr. Nice.Amen.
    R.I.P.

    ReplyDelete
  2. RIP kweli tutamiss kunengua kwako. kamichu amekuwa akini block sana siku hizi basi naanza kupunguza kuja saa zingine anaudhi kweli hata wakati kama huu wa msiba.

    ReplyDelete
  3. rest in peace.Amen.

    ReplyDelete
  4. Poleni wafiwa Ndio mwisho wetu Binadamu hamna kitu .

    By Uledi

    ReplyDelete
  5. Michuzi wee mchokozi:-) teh teh teh,
    enwys R.I.P Aston Villa nilikuwa nafuatilia sakata lake zima kabla ya kifo chake ``Global Publishers`` ´´http://en.wikipedia.org,WAKE UP AFRICA

    /wiki/List_of_countries_by_HIV/AIDS_adult_prevalence_rate :
    ITS TIME TO SPEAK OUT THE TRUTH.
    http://www.youtube.com/watch?v=lh1JfyhbrOU

    ReplyDelete
  6. nawapa pole sana wafiwa mungu awajaze nguvu. pia napenda kumpa pole mpenzi wake wa zamani ambaye pia ni mzazi mwenzake bwana Mkenda au Mr Nice. poleni sana jamani lakini sote tu safarini tunapishana siku tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...