Dr Izac Marro na mai waifu wake Anna Massesa baada ya kumeremeta jioni ya leo katika kanisa la Azania Front jijini Dar leo. Dk. Izac ni mtangazaji wa kipindi cha Njia Panda cha Clouds FM
Bi harusi na kinadada maua wake

Bw. Harusi na wapambe wake
Picha zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hongereni sana Dr. Isack na Anna nawatakia kila la heri kwenye ndoa yenu.
    Dr. RM's sister

    ReplyDelete
  2. hapo Dr ni bwana harusi au bibi harusi? Hongera Dr Anna Masesa classmate wako St Anthony's na Mzizima! Ngoja nitafute mwenza wangu kwa nguvu nami

    ReplyDelete
  3. Great!
    Congrats Drs Isaac and Anna!
    Wishing you all the best in your marriage life!

    ReplyDelete
  4. My innermost heartfelt congrats to you colleagues Anna and Isaac.

    ReplyDelete
  5. hongereni sana maharusi karibuni kwenye chama, naona hapo dr. maro aliamua kutest zali kabisa asije akauziwa mbuzi kwenye gunia bure, hahahahahaah nimependa

    ReplyDelete
  6. Hongera sana Dr

    Samahani sikuweza kuja kwenye harusi hiyo lakini wazazi wangu waliweza kuja hongera sana Ndugu yangu

    Yangu Kabla ya Mwisho wa Mwaka huu

    ReplyDelete
  7. Congrats to both of you, you are stunning. May God bless you

    ReplyDelete
  8. may the pathway be always shining. congratulations to you isaack and anna

    ReplyDelete
  9. Dr.Issac hongera sana mkuu.. Upendo utawale nyumba yenu.
    Mdau, Yokohama.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...