Abuu Ubwa (kulia) akimtoka beki wa Kenya, Edwin Simiyu.
Kocha Mkuu wa Yanga, Kostadic Papic (kulia) akiwa na msaidizi wake, Medic Momcilo 'moma' wakifuatilia mchezo wa timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania 'Ngorongoro Heroes' inayojiandaa na mchezo wake na timu ya Malawi utakaopigwa Aprili 17 katika mjini wa Lilongwe wa kufuzu fainali za Afrika za vijana wa umri chini ya miaka 20 ambapo fainali zake zitakazofanyika Libya. katika Mchezo wa leo Ngorongoro Heroes imeshinda 4-3.
Kikosi kamili cha Ngorongoro Heroes leo
Home
Unlabelled
ngorongoro heroes yaifunga Kenya 4-3 leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kwanza Hongereni Vijana kwa ushindi, Je ma Kocha wa Timu zengine za Ligi ya Tanzania Bara walikuwepo? kama hawakuwepo alikuwa tu huyo wa Yanga inaonesha kabisa Nchi yetu bado haitizami Vijana kama inavyotakiwa. Nilienda Visiwani Kwa wenzetu ZNZ angalau wanajitahidi wanamashindano ya vijana na wanawapa nafasi kwenye timu zao za Ligi.
ReplyDelete