Home
Unlabelled
duh! messi, messi, messi, messi....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh!huyu jamaa kweli ni noma,lakini safu ya ulinzi nayo ililala usingizi sana,4 o'clock tena zote mtu mmoja???? Haya ngoja tusubiri watani wa jadi hukumu yao leo.
ReplyDeleteLION MESSI msimu ujao anahamia BWAWANI KWENYE MAINI, Teh Teh Teh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteyaani nilifikiri naangalia playstation kumbe ni real champs league game,aibu maanake gap ni kubwa sana,na wasisingizie arsenal watoto maanake messi mwenyewe ni 22yrs,sergio busquet 21,pedro 20,bojan 20...hawa watoto ni balaa!! kama wanacheza chandimu uani.
ReplyDeleteKusema ukweli, huyu Messi ni mbaya. Pamoja na kuwa beki ya arsenal jana ilikuwa sio nzuri lakini anacheza kwa ufundi sana. Kuna wachezaji wengi wanaofunga kama Ronaldo na Rooney, lakini naona anacheza kwa akili zaidi na kujihami asipate madhara pia. Ila kwa kweli kukosekana kwa beki nzuri kunawagharimu sana arsena. Huyu Galas apone jamani
ReplyDeleteOnly Maradona can stop Messi na uapangaji wake mbaya wa timu ya argentina this guy now he's on the same level with the like of ZIDANE,FAT RONALDO,JOHHAN CRUYFF,ALFREDO DI STEFANO,ELI MARADONA TEJA NA PELE lakini anatikiwa aprove kwenye big stage this sama world cup in south africa
ReplyDeleteu cant compare MESSIAH MESSIDONA MESSI with other EGO PLAYER LIKE ROONEY AND C.RONALDO only 3 PLAYER CAN BE LIKE HIM MARADONA,PELE AND GREAT ZIDANE now MESSI UNATAKIWA USHNDE WORLD CUP TO BE LIKE THEM I CANT WAIT FOR ELI CLASSICO EUROPA MESSI AGAINST EGO TEAM REAL MADRID
ReplyDeletenow special one maurinho against the trully special footballers messi,iniesta,pedro,bojan,sergio bosquet and co
ReplyDeleteMessi Business he's only 22 adi mzee wenger kadai ata asipobeba world cup yupo levo moja na kina maradona,zidane na fat ronaldo its joy 2 watch this guy he remind me ronadinho 2006-2008
ReplyDeleteNaungana na mdau mmoja hapo juu, kamwe huwezi kumlinganisha Messi na C.Ronaldo aka Ronaldo jike, maana dume ni lile la Brazili lililokuwa Fifa Best Player of the World mara tatu, ama mnamuita nani huyu jamaa nani huyu, huyu, huyu hebu nikumbusheni huyu, huyu, aaaaa yes Roney wa Manchesta. Messi ni wa ulimwengu mwengine sasa, kuna wakati anacheza utafikiri wale wachezaji wa kwenye play-station. So wadau tuache unazi, the guy ni namba nyingine kabisaaa, hata kama hatochukuwa ubingwa wa dunia, still ni namba nyingine, kwa kipindi cha mwezi mmoja jamaa ameshapiga tatu, tatu na nne, na anavyotia huruma kwa kutojua kushangilia, nakumbuka aliwahi kunukuliwa akisema "mimi sijui kujiangalia kwenye kioo na kutwngeneza nywele ama kuremba masikio, ili niwapo uwanjani nivutie wana wake na watu wa mitindo, mimi kazi yangu ni soka tu" viva Messi.
ReplyDeleteHe is one the best in our generation the likes of maradona no doubt about it and i also we must admit even barcelona is one of the best is gonna take the cup this year.Am a big fun of arsenal but that i think i have to admit
ReplyDeleteJamaa tayari ni the best footballer in the planet. Kitu pekee kinachowapa 'haters' nafasi ya kubisha ni kuwa hajatwaa kombe kuu. Kwa ushirikiano na kina Aguero, Tevez, Higuain, Juan Sebastian Veron, Gabriel Milito, Diego Milito nk anaweza kutimiza hilo hapo bondeni.
ReplyDeleteUkiona hata Waingereza wameshindwa kumpigia debe mtu wao Rooney kuwa the best in the world ujue kwamba kweli shughuli ya dogo ni nzito. Hata muziki wa Ronaldinho enzi zake haukuwa mzito kiasi hiki.
Viva La Pulga! Go Atomic Flea!
siku zangu za furaha maishani ni:
ReplyDelete1.nilipofaulu shule
2.nilipofaulu life(na bado nasonga)
3.nilipo------
4.MESSI na magoli ya barca
nina rahaaaaaaa you man i'll give you ANYTHING baby boy
wee ndo mwanaume haki ya nani uyu mtoto wa kiume acha kabisa umenikuna
nimepagawa
barca hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeey
bwawa la mainiii???!!!
ReplyDeletenyoooo washike adabu wale,na hao mashetani wekundu wao adi rooney tu ndo wako hai-shenzy taipu
hahahahaaa
messi ni business nyingine lkn kuifunga arsenal sio kipimo cha kutisha ki-hivyo. first leg kumbuka hakufurukuta.
ReplyDeleteanywayas shame on you arsenal mnasema mnacheza kama barca mbona tuliona maziwa na maji???
Bwana michuzi siku zote huwa unapost matokeo ya soka including hii ya Arsenal lakini this time MAN U wametolewa ukauchuna kulikoni? Hata BBC Radio leo asubuhi hawakutangaza kabisa matokeo ya Man U naona nao ni washabiki wakubwa wa MAN U. Acheni ushabiki kwenye kazi andikeni/semeni kilichotokea suala la uchungu wenu wa kutolewa msije mkalileta katika kazi.
ReplyDeleteMessi ni kweli anatisha kama Roben na fainali itakuwa kati ya Barca na Bavaria. Messi atamshona mdomo Mourinoh next round. Lakini kwa mechi ya jana ndani ya washabiki 70,000 halafu mnatolewa jamaa wa OLD T walilowa jana hadi nikawaonea huruma.
Sasa ndio mtajua ya kwamba UK hakuna mprira wanasaidiwa tu na vyombo vyao vya habari ambavyo vimetapakaa dunia nzima. Watu wenye DSTV nawashauri muwe mnaangalia soka la ligi za Spain, Italy na Germany utagundua kwamba UK wako nyuma kabisa kisoka.
Na katika world cup ijayo, ili UK ichukue hilo kombe, iombe mungu isikutane na timu zifuatazo katika hatua yoyote: Spain,Argentina, Brazil, Italy, Germany na Netherland. Ikikutana na mojawapo kati ya hizo katika hatua yoyote basi hesabu hiyo ni OUT kwa UK. Halafu Rooney huyo ni kwishney kabisa atafichwa kama alivyofichwa na wale jamaa wa Bavaria (Buyern)
You gotta respect Arsenal. They tried to play a game of football, unlike Chelsea who parked the bus in front of the goal and dived all game at the Camp Nou.
ReplyDeleteWhat a Messi-merizing performance!