



Wakati huo huo....
KLABU ya soka ya Simba imesema hivi sasa inaufikiria zaidi mchezo wake wa Kombe la Shirikisho dhidi ya timu ya Lengthens ya Zimbabwe, kuliko mechi ya Ligi Kuu dhidi ya watani zao wa jadi, Yanga, ambao utafanyika Aprili 11, Dar es Salaam. Kupata habari hii kamili.
BOFYA HAPA
Libeneke la Yanga
Kumbe Yanga na Simba bado ni issue?
ReplyDeleteSoka la Bongo bwana!! Yanga na Simba tu basi ndiyo mwisho, miaka nenda miaka rudi hakuna cha zaidi. Fanyeni juhudi mfanikiwe kwenye anga za mechi za kimataifa. Yanga na Simba hakuna tija ya maana, hiyo itaishia Kariakoo tu pale.
ReplyDeleteCheck hii ya Yanga baadala ya kuweka timu kwenye kambi nzuri wakati ilipokuwa inajaandaa na Lupopo ya Congo wanaweka wakati wa Simba.
akili za yanga bwana wao wanaona muhimu kwa funga simba tu wakienda na majimaji wanafungwa
ReplyDeleteTimu zisizo na dira michezo ya kimataifa wanaipa umuhimu kidogo na wakishindwa visingizio kibao.
ReplyDeleteSoka la bongo bwana, sasa na waamuzi hilo nao pambano wao watakuwa wamewaweka wapi??
SIMBA MSHAANZA KUONA WIVU, JEURI YA PESA HIYO.....
ReplyDeleteWote hawa wachezaji si wanaishi hapo Dar? Wangekua wako nje ya mji na wakakaa hotelini ningeelewa lakini kuwaweka hapo wakati wote wana nyumba zao hapo hapo karibu naona kama kichwa maji vile. Hizo hela wangetumia kunufaisha maisha ya hao wachezaji. Either kuwasaidia kujenga au kujiendeleza kimasomo au something.
ReplyDeleteYanga endelezeni soka la magazetini na globuni wakati Simba wanaendeleza soka la kitabuni.
ReplyDeleteSOKA LA USIMBA NA UYANGA NA LIGI ISIYOKUWA NA MIKIMIKI YA USHINDANI WA KUZIWEZESHA TIMU ZA TANZANIA KUMIHIMILI SOKA LA KIMAIFA NDIYO CHANZO CHA KIFO CHA SOKA LA TANZANIA.
ReplyDeletekuliko kukaa holiday in, mgeweza kuiweka klabu yenu katika hali nzuri na yakisasa, wachezaji wakawa wanakaa klab kama inabidi, kuliko kukaa Hotel, ni kujitia gharama zisizo na faida, na kwa kweli ni ushamba ulio pita kiasi.
ReplyDeleteLIFE IS TOO SHORT... ENJOY!
ReplyDelete