Mkurugenzi wa Kanda ya Kusini wa Vodacom Bw. Jackson Kiswaga akiwa na meneja mauzo wa kanda hiyo Bw. Patrick Njole leo wakati Globu ya Jamii ilipotembelea ofisini hapo Mbeya leo. Kanda hii ya kusini inakava mikoa ya mbeya, Rukwa, Iringa na Ruvuma
sehemu ya kikosi kazi cha Vodacom Mbeya

wadau wa Vodacom Mbeya
eneo la kujidai la kikosi kazi cha Vodacom Mbeya




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Namuona mzee mzima Newton hapo!!!! salam kutoka kwa wana shaaban-robert wenzako.. lol

    ReplyDelete
  2. Hicho kikosi ca kazi cha voda Mbeya bado kina kazi ya (au kuji-pretend angaa) kuziba pengo la ujinsia. Picha huzungumza mambo elfu lela hulela

    ReplyDelete
  3. Newton Mwakanyamale..hahahaha..umetisha Bwana Harusi

    ReplyDelete
  4. Kikosi kazi, Hongereni na poleni kwa kazi. Ankal, next time washauri jamaa wajaribu kubalance gender, nahisi umeshindwa hata kupata konoz na warembo wa kusini!
    We have missed ze fulanaz.
    Michuzi, poleni saana kwa msiba, mwenyezi Mungu awajalie subira kipindi hiki cha majonzi.

    ReplyDelete
  5. Newton nimekukubali Mzee wa BBA toka Muzumbe ila mazoezi kidogo mwana.

    ReplyDelete
  6. Kiswaga,Patty,Meku alex,newton....nafurahi kuona taswira zenu na washkaji wote!Hongereni kwa kazi nzuri-Kigogo Uk.

    ReplyDelete
  7. wakaka wa voda mmmh! punguzeni kwenda hapo mafiat kwenye nyama choma nk! Angalieni hivyo vitambi msije mkavunja ndoa zetu! mimi ni mdada hivyo najua athari ya mwanaume mwenye kitambi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...