Home
Unlabelled
globu ya jamii yatembelea vodacom mbeya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Namuona mzee mzima Newton hapo!!!! salam kutoka kwa wana shaaban-robert wenzako.. lol
ReplyDeleteHicho kikosi ca kazi cha voda Mbeya bado kina kazi ya (au kuji-pretend angaa) kuziba pengo la ujinsia. Picha huzungumza mambo elfu lela hulela
ReplyDeleteNewton Mwakanyamale..hahahaha..umetisha Bwana Harusi
ReplyDeleteKikosi kazi, Hongereni na poleni kwa kazi. Ankal, next time washauri jamaa wajaribu kubalance gender, nahisi umeshindwa hata kupata konoz na warembo wa kusini!
ReplyDeleteWe have missed ze fulanaz.
Michuzi, poleni saana kwa msiba, mwenyezi Mungu awajalie subira kipindi hiki cha majonzi.
Newton nimekukubali Mzee wa BBA toka Muzumbe ila mazoezi kidogo mwana.
ReplyDeleteKiswaga,Patty,Meku alex,newton....nafurahi kuona taswira zenu na washkaji wote!Hongereni kwa kazi nzuri-Kigogo Uk.
ReplyDeletewakaka wa voda mmmh! punguzeni kwenda hapo mafiat kwenye nyama choma nk! Angalieni hivyo vitambi msije mkavunja ndoa zetu! mimi ni mdada hivyo najua athari ya mwanaume mwenye kitambi!
ReplyDelete