Askari wakimpigilia misumari Mwinjilisti, Frank Andoye aliyeigiza kama Yesu wakati ya ibada ya kumbukumbu ya mateso ya bwana yesu kristo iliyofanyika katika kanisa la KKT usharika wa Azania Front, leo.
Home
Unlabelled
Ibada ya ijumaa kuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuuliza si ujinga!
ReplyDelete1. je, eti ni kweli na mafisadi wanamyenyekea Mwenyezi Mungu?
2. Sote tunajua kuwa Waheshimiwa Wabunge hulipwa kwa pesa za walipa kodi. Je, ni nani wabunge mzigo kwa wananchi kati ya wanaopambana na ufisadi na wanaoutetea ufisadi?
3. Je, kuwa kigogo katika jamii yetu kunapatikana kwa kuzaliwa au kutokana na jitihada za mtu?
Ninatanguliza shukrani kwa atakayenipa majibu yenye uhakika.
Mlalahoi
kwa mfuga mafisadi
TAZAMA IYO PICHA YA KWANZA UTAFIKIRI KATIWA NDIMU NA CHUMVI USONI.ALAFU IYO YA FISADI INANIKERA SANA MAFISADI WAKO WENGI JAMANI!!!
ReplyDeleteALAFU IYO YA MWISHO UYO KAMA KAENDA KUUZA SURA
Ohhh jamani Azania Front used to be my home church.....
ReplyDelete