Askofu Mkuu wa Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, mwadhama Kadinali Polycarp Pengo akifuatilia ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika leo katika kanisa la Mtakatifu Joseph.
Muigizaji Frank Andoye ambaye aliigiza kama YESU akiwa msalaban,hii ni katika ibada ya Ijumaa kuu iliyofanyika katika kanisa la KKKT Azania Front jioni hii.
Askari wakimpigilia misumari Mwinjilisti, Frank Andoye aliyeigiza kama Yesu wakati ya ibada ya kumbukumbu ya mateso ya bwana yesu kristo iliyofanyika katika kanisa la KKT usharika wa Azania Front, leo.
Yesu akihangaika na msalaba wake
Yesu akicharazwa mijeredi katika ibada ya Ijumaa kuu ndani ya kanisa la KKKT Azania Front iliyomalizika jioni hii.
waumini wakiwa katika ibada ya Ijumaa kuu ndani ya kanisa la KKKT azania Front
Waumini wakitoa Sadaka.
Waamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Azania Front Dar es Salaam wakiwa katika ibada ya Ijumaa Kuu leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kuuliza si ujinga!
    1. je, eti ni kweli na mafisadi wanamyenyekea Mwenyezi Mungu?

    2. Sote tunajua kuwa Waheshimiwa Wabunge hulipwa kwa pesa za walipa kodi. Je, ni nani wabunge mzigo kwa wananchi kati ya wanaopambana na ufisadi na wanaoutetea ufisadi?

    3. Je, kuwa kigogo katika jamii yetu kunapatikana kwa kuzaliwa au kutokana na jitihada za mtu?

    Ninatanguliza shukrani kwa atakayenipa majibu yenye uhakika.

    Mlalahoi
    kwa mfuga mafisadi

    ReplyDelete
  2. TAZAMA IYO PICHA YA KWANZA UTAFIKIRI KATIWA NDIMU NA CHUMVI USONI.ALAFU IYO YA FISADI INANIKERA SANA MAFISADI WAKO WENGI JAMANI!!!

    ALAFU IYO YA MWISHO UYO KAMA KAENDA KUUZA SURA

    ReplyDelete
  3. Ohhh jamani Azania Front used to be my home church.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...