Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo Bw. Seith Kamuhanda akifungua mafunzo elekezi ya waajiriwa wapya wa Wizara hiyo leo jijini Dar. Mafunzo hayo ni sehemu ya utaratibu wa Serikali wa kuwaelimisha watumishi wake wapya kwa ajili ya kuongeza ufanisi mahali pa kazi. Baadhi ya washiriki wa mafunzo elekezi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo Bw. Seith Kamuhanda(hayupo pichani) wakati wa ufunguaji mafunzo elekezi leo jijini Dar
Picha na tiganya vincent-maelezo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...