Home
Unlabelled
mastaa wa bongo watangaza biashara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
"MADE IN TANZANIA"
ReplyDeleteHaya ndiyo maendeleo yanayotakiwa kwa watanzania tuna mastaa katika kila fani iwe michezo,cinema na mziki hakuna sababu ya kuendelea kuwaweka mastaa wa nchi zingine...
Tunafurahishwa kuyaona mabadiliko mapya ya matangazo ya uhakika na yanapendeza kuwaona mastaa wetu.
Mickey Jones
Denmark
hapo ni dole tupu hamna hata ukucha.
ReplyDeleteAnkal
ReplyDeleteNami naafiki kuwa hii ni hatua nzuri, ya kutambua vipaji vya nymbani na kuvitumia. Ila tuwe makini kwa mambo kadhaa.
Mastaa wetu wanayo fursa ya kuiathiri jamii, hasa watoto na vijana kwa kiwango cha juu. Wawe makini na hilo, ili waende katika njia yenye manufaa kwa jamii.
Wanapoombwa kutangaza bidhaa, watafakari ni bidhaa gani. Sigara, kwa mfano, ni bidhaa inayohujumu afya, na bia kadhalika.
Nakumbuka kuna wakati fulani huku Marekani makampuni ya sigara yalitiwa msukosuko mkubwa kwa utangazaji wao wa sigara, kwani walikuwa wanawavutia vijana. Huku Marekani, watoto na vijana wasiofikia umri unaokubalika hawaruhusiwi hata kununua sigara dukani. Hata wakienda na pesa mkononi, hawauziwi.
Makampuni hayo yalipatikana na hatia, yakapigwa faini kubwa sana. Katika kuhangaika, kampuni mojawapo ilifika Tanzania, tukaikaribisha kwa mikono miwili, ikaendelea kudunda, kwani Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu.
KWA KWELI ANKALI HAYA NI MAENDELEO YANAYO TAKIWA LAKINI SHIDA NI MOJA TU EBU ANGALIA APO KWA KANUMBA HUYO JAMAA ALIYEDISGN TANGAZO ALIKUA AMELALA AMA?MAANA HALIVUTII KABISA HALAFU PIA ANKALI NAULIZA APO KULIKUA KUNA UMUHIMU GANI WA KUTUWEKEA JINA LA KANUMBA KWANI SISI HATUMJUI?
ReplyDeleteTUACHANE NA HILO PIA BACKGROUND COLOR HAIENDANI NA MANTIKI YA TANGAZO HILO.WANATANGAZA ZAIN NA HAWAMTANGAZI KANUMBA
KANUMBA YUKO HAPO TUU KUWAVUTIA WATU.
KWA TANGAZO LA PILI JAMAA AMEJITAIDI KUTOKA NA KUTOKANA NA MAZINGIRA
CHANGAMOTO
TUNAOMBA WANAOTENGENEZA MATANGAZO WAFIKIRIE KABLA SIO WANAMPATA MSANII TUU WANAONA ANAFAA WANAMCHOMEKA ATA BILA KUTAZAMA ALIVAAJE NA JE ANAENDANA NA TANGAZO NA MAMBO KAMA HAYO.
MDAU MTENGENEZA MATANGAZO UGHAIBUNI
Ankal nawe uko wapi ama wenye biashara bado hawakutambua kwamba wewe ni the most popular ankal in za kantri?
ReplyDelete(US Blogger)
aisee hata mimi nimeyaona yapo mengi tu,ay pale buguruni malapa na tangazo la voda la shs 1,imelda mwamanga pale bug malapa tangazo la zantel
ReplyDeletehongereni sana
mnawalipa vinavyoeleweka kulingana na MIPESA mliyonayo??nyie zain
ReplyDeletemmejitaidi kuinua wazawa
Naunga mkono ila tafadhari walipeni kwa uhakika maana zama za kutumika kwa sasa hakuna,
ReplyDeleteAminia