Uongozi wa Kijitonyama Chipukizi Sports Centre unayo furaha kuwajulisha wadau wake wa soka popote walipo kuwa timu yetu ya U-17 inashiriki ligi ya COPA COCA COLA U-17 Jimbo la Kinondoni inayoanza tarehe 05-04-2010 katika uwanja wa Bora Kijitonyama karibu na kituo cha polisi,Ukiwa mmoja wa wadau wa soka unakaribishwa kuja kuona soka la vijana siku hiyo tutakapoanza kucheza na timu ya Lebanon F.C na baadae na timu za Villa Sguad na MsakoF.

Nyote mnakaribishwa.
by Chris Fidelis
Kny ya Uongozi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...