Gazeti mahiri la mambo ya Nywele na Urembo la Shear Hair & Beauty Magazine toleo la nne lipo mtaani Sasa. Pia unaweza chungulia gazeti hili kupitia tovuti Shear Hair & Beauty Magazine
na kuona yaliyomo ndani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani... HAKUNA WAZURI BONGO ZAIDI YA HICHO KIDEGE CHENU???
    ADVERTISERS WANA JUA KAMA WANA TUUDHI WATEJA AU POTENTIAL WATEJA WANAPOKITUMIA HICHO CHA MPAPURE.......
    KWELI BONGO TAMBARARE KWA WADOSI.

    ReplyDelete
  2. we belinda comment ya mwanzo ni ya ubaguzi maana huna jipya - sasa katika gazeti la hair and beuty watakuweka watu kama wewe - nyewele kama ufyagio - sura bapa? unafikiri atasoma nani? ubaguzi umezidi, chuki zimezidi na ndio maana hakuna maendeleo nchini na baadae mnalalamika ooh hatuendelei

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...