siku jacquiline na james walipomeremeta..
Home
Unlabelled
kudumisha mila na utamaduni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
siku jacquiline na james walipomeremeta..
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Safi sana, inapendeza.
ReplyDeletelol.. kweli shughuli ilinoga kweli hongereni maharusi
ReplyDeleteKarubisi kalikosekana....kanaleta stimu ....
ReplyDeleteHahaha, James umejitahidi sana japo za kitangatanga nafikiri unaziweza zaidi ya za kibukoba. Ila shughuli ilikuwa si ya kitoto umejitahidi sana Lol!
ReplyDeletewow,!!bibi harusi umechangamka,u look beautiful,Wahaya juu juu zaidi.
ReplyDeleteAbsolutely beautiful.Bwana harusi mashallah tabasamu, sura nzuri, pamoja na umbo anavutia sana bi harusi chunga mzigo wako wezi wengi siku hizi. Mumeo anatamanisha.Pongezi nyingi maharusi.
ReplyDeleteproud of my tribe!
ReplyDeleteyan ktka suala la ngoma za utamaduni wahaya tunafunika,hata km sio kabila lako lazima mzuka utakupanda,asikwambie mtu ngoma zinazohusisha sana miguu kwenye uchezaji zinaleta mzuka,si unaona watu wanavyodata na makhirikhiri?
Hongera maharusi,mwashemela muno!!!!!!!
Shumbusho [Baba Chelsea] hii kitu umeamua kuicheza full kujiachia, safi saaaaaaaaana!
ReplyDeletemh awa nao watu????kaeni nao muone
ReplyDeletemie titizzz la bi harusi waoooooo