siku jacquiline na james walipomeremeta..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Safi sana, inapendeza.

    ReplyDelete
  2. lol.. kweli shughuli ilinoga kweli hongereni maharusi

    ReplyDelete
  3. Karubisi kalikosekana....kanaleta stimu ....

    ReplyDelete
  4. Hahaha, James umejitahidi sana japo za kitangatanga nafikiri unaziweza zaidi ya za kibukoba. Ila shughuli ilikuwa si ya kitoto umejitahidi sana Lol!

    ReplyDelete
  5. wow,!!bibi harusi umechangamka,u look beautiful,Wahaya juu juu zaidi.

    ReplyDelete
  6. Absolutely beautiful.Bwana harusi mashallah tabasamu, sura nzuri, pamoja na umbo anavutia sana bi harusi chunga mzigo wako wezi wengi siku hizi. Mumeo anatamanisha.Pongezi nyingi maharusi.

    ReplyDelete
  7. Ms B. RugarabamuApril 29, 2010

    proud of my tribe!
    yan ktka suala la ngoma za utamaduni wahaya tunafunika,hata km sio kabila lako lazima mzuka utakupanda,asikwambie mtu ngoma zinazohusisha sana miguu kwenye uchezaji zinaleta mzuka,si unaona watu wanavyodata na makhirikhiri?
    Hongera maharusi,mwashemela muno!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. Shumbusho [Baba Chelsea] hii kitu umeamua kuicheza full kujiachia, safi saaaaaaaaana!

    ReplyDelete
  9. mh awa nao watu????kaeni nao muone

    mie titizzz la bi harusi waoooooo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...