Hi Ankal,
naomba uniwekee hili libeneke ya Zenji Fm Radio ya huku Zenji ili wadau wapate kuiona.Ndani ya blog hii utapata kusikiliza vipindi mbali mbali vinavyorushwa na radio bora kabisa hapa Zanzibar ya Zenji FM
http://www.zenjfm.blogspot.com/
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera wazenji! Bara bado twauchapa usingizi kwanza!
ReplyDeleteSTAY TUNE OR STAY TUNED? JUST ASKING.
ReplyDeletembona ni kimya hatusikii kitu, na kwa nini mumeweka link kwenye logo ambayo inafungua page hiyo hiyo iliyokuwepo mwanzo?
ReplyDeleteHapa ni TAARAB kwenda mbele na vibwagizo vya JOTI.
ReplyDeleteHongereni wenzetu, mmetangulia na sisi tunajipanga tuwafuate.
nyie wazenji baadhi mliotoa comment hapo juu mmekosa cha kulonga? yaani FM stations zote hizi bara eti mnasema imelala? hebu muulizeni dada yenu DJ fetty atawaambieni
ReplyDeletenilifikiri ina streaming hamna lolote ya nini hapa
ReplyDeleteBadilisheni logo yenu hapo no Stay TUNED sio tune, hamna editors?aagghhhh
ReplyDeleteanon wa Fri Apr 09, 08:22:00 PM, labda kiswahili kinakushinda. samahani lakini aliyeleta comment ya kuwa bara kumelala amesema wazi kuwa bara twauchapa usingizi hii inamaanisha nae ni mbara.
ReplyDeleteTena inashangaza ni comment moja tu lakini kwa ghadhabu na chuki binafsi umeruka ohhh nyie wazenji! chill out utakufa siku sio zako kwa chuki.
ZenjFM tupo wengi watanzania ughaibuni, fanzeni mipango kitu live streaming, maana mshaanza hatua kupitia blogspot kuliko CloudsFM, 'RedioAfrika!', TBC Radio Tz n.k
ReplyDeleteMdau
Ughaibuni.