Hi Ankal,
naomba uniwekee hili libeneke ya Zenji Fm Radio ya huku Zenji ili wadau wapate kuiona.Ndani ya blog hii utapata kusikiliza vipindi mbali mbali vinavyorushwa na radio bora kabisa hapa Zanzibar ya Zenji FM

http://www.zenjfm.blogspot.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hongera wazenji! Bara bado twauchapa usingizi kwanza!

    ReplyDelete
  2. STAY TUNE OR STAY TUNED? JUST ASKING.

    ReplyDelete
  3. mbona ni kimya hatusikii kitu, na kwa nini mumeweka link kwenye logo ambayo inafungua page hiyo hiyo iliyokuwepo mwanzo?

    ReplyDelete
  4. Mume Wangu, Mikanjuni TangaApril 09, 2010

    Hapa ni TAARAB kwenda mbele na vibwagizo vya JOTI.
    Hongereni wenzetu, mmetangulia na sisi tunajipanga tuwafuate.

    ReplyDelete
  5. nyie wazenji baadhi mliotoa comment hapo juu mmekosa cha kulonga? yaani FM stations zote hizi bara eti mnasema imelala? hebu muulizeni dada yenu DJ fetty atawaambieni

    ReplyDelete
  6. nilifikiri ina streaming hamna lolote ya nini hapa

    ReplyDelete
  7. Badilisheni logo yenu hapo no Stay TUNED sio tune, hamna editors?aagghhhh

    ReplyDelete
  8. anon wa Fri Apr 09, 08:22:00 PM, labda kiswahili kinakushinda. samahani lakini aliyeleta comment ya kuwa bara kumelala amesema wazi kuwa bara twauchapa usingizi hii inamaanisha nae ni mbara.

    Tena inashangaza ni comment moja tu lakini kwa ghadhabu na chuki binafsi umeruka ohhh nyie wazenji! chill out utakufa siku sio zako kwa chuki.

    ReplyDelete
  9. ZenjFM tupo wengi watanzania ughaibuni, fanzeni mipango kitu live streaming, maana mshaanza hatua kupitia blogspot kuliko CloudsFM, 'RedioAfrika!', TBC Radio Tz n.k
    Mdau
    Ughaibuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...