Toka shoto ni Muhidin Maalim Gurumo wa Msondo, Juma Kilaza wa Cuban Marimba (RIP) Sajini Mstaafu Kassim Mapili wa Mjomba Band na Mzee John Simon wa enzi za Kimbunga Stereo. Hapo walikutana katika semina ya muziki na kuamua kupiga picha ya pamoja. Wote wana historia ndefu katika tasnia ya muziki na wanastahili kuenziwa. Juhudi zao na za wengine hivi sasa zina libeneke rasmi la ankal John Kitime ambaye hakika anafanya makubwa katika kuendeleza libeneke la muziki wa nyumbani. mtembelee hapa www.mwakitime.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawa wasanii ni MOTO WA KUOTEA MBALI.
    Tuna tamani kurudi enzi hizo za miaka ya 70 na 80 wakati walikuwa wakitunga tungo ambazo hata leo unazisikiliza kwa ujumbe wake murua.
    Wajaribu kuzi repackage tungo zao maana washabiki wao bado tupo , tena kwa sana,

    ReplyDelete
  2. NAMUONA MJOMBA GURUMO AKA KAMANDA NDANI YA NYUMBA,MZEE HUYU SAUTI YAKE HAIZEEKI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...