Ray C

Baada ya maneno kuzagaa mtandaoni kwamba Ray C ametapeli mapromota wa ulaya dola elfu 4, BONGO5 ilimtafuta Ray C na kumpa nafasi ya kujieleza na kuweka wazi upande wake wa hili swala kwa kupitia njia ya video.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. HUYU MTOTO NAE ANA VISA!SASA KUTUKALIA MKAO WA KIBATABATA MANAKE NINI?

    ReplyDelete
  2. AWAOMBE MSAMAHA WASHABIKI WAKE WA ULAYA MAANA ANAONYESHA KAWAFANYIA VITUKO VINGI SANA HUKO UKISOMA KTK COMENTS

    ReplyDelete
  3. Ewe anon wa 04:48:00
    Huo unaitwa ukatili wa wanyama

    ReplyDelete
  4. Cogh koh kohh koohhhhh kikohozi cha ghalfa...duh..koh koh

    ReplyDelete
  5. picha yenyewe inaonekana ya kuunga unga, ni yeye kweli?
    mbona sura na kiwili wili havina uhusiano, rangi tofauti. miguu na kiuno ka vile rangi za kuchora.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...