Ndugu Maina Ang'iela Owino ( Mwenyekiti wa CCM UK) baada ya kulamba nondozzzz yake ya LLM International Trade and Commercial Laws Chuo Kikuu cha Oxford Brookes University jana
Ndugu Owino akisubiri kulishwa nondozzzz
akiwa na wala nondozzzz wenzie


kofia hewani baada ya nondozzzzzz




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongera sana Kiongozi. Sasa hebu malizia kabisa na PhD ili ukifika Rorya 2015 Wazee wamruhusu Prof apumzike maana Dr utakuwa umeshakomaa...lol

    Very Well Done.

    Engineer, Reading.

    ReplyDelete
  2. hongera sana mheshimiwa. Ni furaha kuona vijana wa home mnakula nondozi kwenye shule nzuri kama hizi. inabidi sasa utumie elimu yako kwa manufaa ya watanzania wote na siyo limited interest za chama.

    mdau, LSE.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana kamanda.
    mdau manchester

    ReplyDelete
  4. kweli inapendeza sana hongera sana ndugu oyaa US blogger si ulisoma chuo hiki?? picha tafadhali kama mdau huyu alivyofanya kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...