eneo la uporoto ni maarufu si tu kwa viazi ulaya bali hata karoti na mazao mengine ya ardhini kutokana na rutuba ya asili na unyevu wa mwaka mzima na bei ya kiwandani...



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Hapo pahala (uporoto)nasikia mwaka mzima no jua ni mawingu tu ila kwa kiazi napaaminia,almost chips karai zote tunazokula dizim(dar)zinatoka hapo pahala ila wao hapo wanavitumia hivyo viazi kwa matumizi tofauti na sisi wapenda chips

    ReplyDelete
  2. HAPO PAHALA NAPAJUA PANAITWA UPOROTO NO JUA MWAKA MZIMA NI MAWINGU NA FULL BARIDI ILA NAPAAMINIA KWA KIAZI,HIZI CHIPS KARAI TUNAZOKULA MITAANI HAPA DIZIM(DAR)MOST OF THEM KIAZI CHAKE KINATOKA HAPO JAPO HAPO WAO WANAVILA HIVYO VIAZI KWA MAPISHI TOFAUTI,WAO WANADIZAINI YAO TOFAUTI NA HIZI CHIPS KARAI ZETU,KAKA MBEYA ITAKUKOMA THIS TIME

    ReplyDelete
  3. ukisikia kubarikiwa ndio huko na mungu katika nchi yetu ukweli kuna mengi sana.hiyo ni uhalisi tulionao
    lakini kuutumia unatushinda kutokana serikali yetu kusisitiza
    kilimo cha umwagiliaji na usimamizi
    mbovu.ukija kwa vijana angalieni hilo
    ni somo kwetu tunaweza kufanya zaidi
    ya hili ili iwe kujiajiri sio lazima
    mjini tujazane wakati wa mjini wao
    hawaendi mbio bila kula chakula
    ambacho sie tunaweza kuwaletea kutokea shambani.kubwa serikali
    ebu tuleteeni wa tailand wachina wahindi watufundishe kujitegemea kwa.ukulima waumwagiliaji nina imani tutaweza. ahsante
    wa

    ReplyDelete
  4. Biashara sanaa, hii nimeipenda sana!
    Maggid

    ReplyDelete
  5. Shehe Mtafunaji Seya, Ukonga AirwingApril 16, 2010

    Ankal, waambie hao watu wa Uporoto wapange vizuri hizo karot, huo mpangilio unadhalilisha thamani yake.

    ReplyDelete
  6. NAJUA HAPA SI MAHALA PAKE ILA TAFADHALI ANKAL WAELEMISHE WATU JUU YA HILI, NIMEPITA KATIKA SALUNI MOJA JIJINI WATU WANABISHANA BAKHRESA NA DAVID BECKHAM NANI TAJIRI, NAJUA HATUNA VIGEZI VYA KUPIMA UTAJIRI WA WATU WETU HAPA TZ ILA HATA COMMON SENSE HAKUNA NADHANI SI HIVYO NAOMBA IWEKWE KAMA NI HOJA ILI NIPATE KUONA RESPOND YA WADAU.

    ReplyDelete
  7. DAVID BECKHAM NI TAJIRI AKULA £125.000.000.OO A YEAR TOKA GALAXY NA BADO UPANDE WA MKEWE NA BADO TV ADVERTS ANAZOFANYA. KWANZA HIZO 125.000.000. KATIKA TSHS NI NGAPI? KWA HARAKA HARAKA TU ZICHUKUWE HIZO NA UZIZIDISHE NA ELFU MBILI TU SI ZITAKUWA 250.000.000.000. HII NI TSHS BILLION 250. BAHARESA ANATENGENEZA FAIDA YA TSHS BILLION 250 KWA MWAKA?

    ReplyDelete
  8. JAMANI KUNA UWEZEKANO MKUBWA SANA WA KUPELEKA WATAALAMU WA KILIMO SAFI CHA KISASA WAKAFANYIA UTAFITI HILO ZAO LA KAROTI LIKALIMWA KISASA WA USANIFU, MBEYA PAKA JNGWA INTERNATIONAL AIPORT KUBWA YA KISASA YA KUHIMILI MIDEGE MIKUBWA NA KUANZA KFANYA EXPORT YA HIZO KAROTO ULAYA NA AMERKA NA NCHI NYINGINE DUNIA HATA WITHIN AFRIKA, KUNA KAROTI HAPA ULAYA ZINATOKA KENYA, ZIMBABWE, SOUTH AFROCA SASA SISI TUNASHINDWAJE JAMANI, MACHOZI YANANITOKA, VIONGOZI WETU HAWANA VISION NA HAWANA UPENDO KAZI YAO NI LIES TO UKIFIKA WAKATI WA UCHAGUZI KUPATA KURA NA KUPATA KAZI AND THAIS IT. JAMANI TUWAFIKIRIE WAKULIMA NA TUWAINUWE. NYANYA ILULA JAMANI KUNA MASOKO KIBAO HUKU ULAYA YA HIZO BIDHAA, TUWE NA MWELEKEO JAMANI. NA HATA KAMA HILI LIKIWEZEKANA SASA UTAONA HATA HAO WAKULIMA TENA WATAKUWA VIGOGO WENYEWE HAWA AKINA KAJAMBA NANI WATARTUPWA MBALI HUKO NI DHAMBI JAMANI TUUOGOPE MUNGU. HUU NI MWAKA WA UCHAGUZI TUNGEPENDA WAZEE WAKAPUMZIKE. DONT DO POLITICS A JOB FOR LIFE MAN!

    ReplyDelete
  9. Yes that is Moon Bay (Mbeya), the Land of Plenty! Usiseme tu kuhusu karoti, lakini maparachichi (matakapela) na ndizi za kuchoma. Mjomba jaribu hiyo menu tafadhali usiondoke Moon Bay bila kuionja!

    ReplyDelete
  10. SOME PIPO BWANA!!!! MADA NI HI HIZO CARROTS ZA UPOROTO, SASA HAYA YA BAKHRESA NA BECKHAM YANAINGIAJE HAPA. NANI ASIYE NA COMMON SENSE HAO WALIOBISHANA SALON AU YEYE ALIYEINGIZA MADA MAHALA SI PAKE.

    COMING TO THE TOPIC, ARE THOSE CARROTS ORGANIC?

    ReplyDelete
  11. HAPO MPOROTO BWANA SHAMBA WAO ALIKUA ANAITWA MASUDI HIVI YUPO WAPI SIKU HIZI MDAU ANAYAYEJUA ANISAIDIE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...