Mbunge wa Wawi - Chake chake Pemba - (CUF) na kiongozi wa kambi ya upinzani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Hamad Rashid Mohamed, akimpa zawadi Spika wa Bunge la Canada, Bw. Peter Milliken, mjini Ottawa. Mhe. Hamad Rashid Mohamed yupo ziarani Canada kwa ziara ya kikazi
Mbunge wa Wawi - Chake chake Pemba - (CUF) na kiongozi wa kambi ya upinzani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Hamad Rashid Mohamed, akiwa na Spika wa Bunge la Canada, Bw. Peter Milliken mjini Ottawa na Balozi wetu Canada, Mh. Peter Kallaghe (shoto) na Ofisa wa Ubalozi kwenye ofisi za bunge la nchi hiyo
div>Mhe. Hamad Rashid Mohamed pia alikutana na kubadilisha mawazo na wajumbe wa kamati ya Bunge la Canada inayoshughulikia maswala ya Africa "Canada - Africa parliamentary association"



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mheshimiwa tafadhali fika US tukuhoji na tuweze kutathmini kama wapinzani muko serious na uchaguzi ujao ili kuleta mabadiliko nchini ama mumeridika na ruzuku.

    Mheshimiwa, this is a serious request na kwa kuwa wewe ndio kiongozi wa upinzani Bungeni utatuwezesha sana sisi wadau kutambua how serious the opposition is.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  2. US blogger I total agree with you...lakini hata hivyo unafikiri hawa Waheshimiwa wa Upinzani wakishapokea posho za vikao, vyama vyao kupewa Ruzuku, eeh kuposhwa ji- VX la nguvu (lisilo na riba wala tax)na tuziara twa Ulaya kama hivi..ujasiri wa "u-seriousness" watautolea wapi ndugu yangu?..sisi tulie tu:-)

    ReplyDelete
  3. Hamad R. Moh'd, Toronto safariniApril 18, 2010

    Wewe US Blogger, nimesikia ombi lako na niko tayari kuja huko unihoji upendavyo wewe na washirika wengine wa medani za siasa.
    Sasa nitumieni Tiketi na mpangilio mzima wa safari itakavyokuwa ili tuweze kuwafunua masikio mlioko huku Ughaibuni.

    ReplyDelete
  4. Naomba namba ya simu Mheshimiwa ili tuweke mipango ya mahojiano.

    Asante kwa kuwa tayari kutupa nafasi ya kusikia machache juu ya mikakati ya upinzani katika huu uchaguzi ujao.

    Kama itakuwa tatizo kuweka namba hadharani kwa sababu za kiusalama ama zozote zile naomba unitumie namba at
    usblogger11@gmail.com

    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...