

div>

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mheshimiwa tafadhali fika US tukuhoji na tuweze kutathmini kama wapinzani muko serious na uchaguzi ujao ili kuleta mabadiliko nchini ama mumeridika na ruzuku.
ReplyDeleteMheshimiwa, this is a serious request na kwa kuwa wewe ndio kiongozi wa upinzani Bungeni utatuwezesha sana sisi wadau kutambua how serious the opposition is.
(US Blogger)
US blogger I total agree with you...lakini hata hivyo unafikiri hawa Waheshimiwa wa Upinzani wakishapokea posho za vikao, vyama vyao kupewa Ruzuku, eeh kuposhwa ji- VX la nguvu (lisilo na riba wala tax)na tuziara twa Ulaya kama hivi..ujasiri wa "u-seriousness" watautolea wapi ndugu yangu?..sisi tulie tu:-)
ReplyDeleteWewe US Blogger, nimesikia ombi lako na niko tayari kuja huko unihoji upendavyo wewe na washirika wengine wa medani za siasa.
ReplyDeleteSasa nitumieni Tiketi na mpangilio mzima wa safari itakavyokuwa ili tuweze kuwafunua masikio mlioko huku Ughaibuni.
Naomba namba ya simu Mheshimiwa ili tuweke mipango ya mahojiano.
ReplyDeleteAsante kwa kuwa tayari kutupa nafasi ya kusikia machache juu ya mikakati ya upinzani katika huu uchaguzi ujao.
Kama itakuwa tatizo kuweka namba hadharani kwa sababu za kiusalama ama zozote zile naomba unitumie namba at
usblogger11@gmail.com
(US Blogger)