Picha na Tinganya Vincent- MAELEZO
Home
Unlabelled
mkullo atembelea bahari beach hotel iliyokarabatiwa upya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naomba kuuliza, hivi Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji nani anaripoti kwa mwenzie na nini tofauti ya majukumu yao?? Asante.
ReplyDeleteMwajiriwa
Muwekezaji katoka LIBYA.. sasa KILAJI baridi na ile KITU MOTO vitakuwapo kweli??
ReplyDeleteHuo ndo mwanzo wa kukimbiza wageni then hotel ifungwe tena!!
Mdau wa kwanza juu, ngoja tusaidiane ndugu yangu.
ReplyDeleteMkurugenzi Mkuu (the name goes by itself) ni ofisa wa kampuni ambaye wakurugenzi wote wanaripoti. Ni kiongozi mkuu wa kampuni kiutendaji. Kwa lugha ya bibi anaitwa Managing Director kwa miundo mingi ya makampuni huyu anaripoti kwa bodi.
KITIMOTO KIPO HOTELI ZA DUBAI ITAKUWA HIYO YA DAR? MBONA KEMPINSKI YA WAARABU LAKINI KIPO.
ReplyDeleteYaani, hata kukarabati hoteli ni lazima rais afike kukagua? Kazi hiyo ingefanywa na Meya au Waziri wa Utalii. hata si hadhi kwa Makamu wa Rais kuifanya.
ReplyDelete