Jumuiya ya Watanzania Reading, inasikitika kuwantangazia kifo cha Mama Mzazi wa Mariam Farrah wa Reading kilichotokea huko Tanzania 09/04.2010. Kama desturi fikisha mchango wako kwa viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Reading ili aweze kuwahi mazishi na pia jitahidi kufika kwa mfiwa ili tumpatie faraja ya pekee.

Mahali :16 Bedford Court
Laud Close
Reading
RG1 6RE
Simu:07810034374,00787612862,
07799212095
(Jumuiya ya Watanzania Reading)

Jumuiya Ya Watanzania Reading-UK
www.tanzaniaassociation-reading.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. R.I.P mama na poleni sana wafiwa.
    Huyu ni Mariam aliyesoma Forodhani P/s miaka ya late 80's?

    ReplyDelete
  2. Mariam,Umudi,mansour,sarah,baby,wajukuu ..na wengineo..Poleni sana na tupo pamoja ktk kipindi hiki cha majonzi.R.I.P Mama mami..Shukrani Ondo Z.

    ReplyDelete
  3. RIP mama. Pole Mariam
    Stella

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...