Je, unajua msosi wa kupika kwa ajili ya pasaka?
tembelea libeneke la Chef Issa hapa:
www.activechef.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. miyeyusho tu.

    ReplyDelete
  2. Mungu akulinde kijana wetukwa somo la bure unalotupatia kweli unajituma sana na tunafaidika sana sana

    Mama Irine

    ReplyDelete
  3. KINAMAMA UMETUKOMBOA SANA TU NA MBONA RECIPE HUJAWEKA? TUNASUBIRI KWA HAMU SANA PLS PLS

    ReplyDelete
  4. Kweli kujitolea ni moyo mungu ndio atakulipa kazana professional hii si mchezo na toka michuzi amekutambulisa nakufatilia sana tu maendeleo yako inaonyesha wewe kijana unajuhudi sana na unaielewa sana fani yako hukulazimishwa usilegeze kama kwa mafakio zaidi chakula katika bloga yako kipo mahali pake nakubali na ninzsifia sana tu.

    Mzee JP Douglas

    ReplyDelete
  5. INAMAANA WEWE NI MPISHI AU CHEF MI SIELEWI TOAFUTI YAKE NI NINI? NA HICHO NDIO CHAKULA GANI?

    Mwananyamala

    ReplyDelete
  6. Asalaam alaykhum ankal misosi hii ni kwa pasaka tu au tunaweza pika siku yeyote maana tusije pika tukachekwa.

    Mdau Canada

    ReplyDelete
  7. CHEF ISSA UKO JUU KAZA BUTI ACHA MANENO YA WAVIMBA MACHO HAO HUWEZI KUWAKWEPA HASILANI ANGALIA USTAARABU WAKO KAZI YAKO NI NZURI NA UJUZI NI WAKO KOMAA MDOGO WANGU MOLA ATAKULINDA

    lEE COREA

    ReplyDelete
  8. Happy Easter Chef Issa be blessed always

    ReplyDelete
  9. Hongera sana chef issa kwanza nilichelewa kukutumia pongezi katika ile ushindi wakonwa zile sanamu za chocolate tuanjivunia kuwa na vinjana kama wewe katika ulimwengu huu wa ushindani kua mvumilivu panga mipango yakosafi uendelee kufanya makubwa zaidi nafurahi san blog yako ya chakula hasa upande wa maelezo maana ni kimatumbi halisi na kinaeleweka safi sana siku hizi nakula chakual safi sana mke wangu anafanya mabo ya maana kweli.

    Mdau Mbezi

    ReplyDelete
  10. CHEF ISSA NAKUZIMIA SANA TU NITAKUPATAJE? SEMA POPOTE ULIPO NIJE JAMANI MHHHHHHHHH?????????

    MISS DSM

    ReplyDelete
  11. kazi hii unalipwa au unajitolea maana sio kawaida? je wewe ni mtanznia halisi? watanzania tumezoea kugawana umaskini sio kusaidiana elimu wewe na ankal mhhh ok nawatakia pasaka njema na wema wenu uendelee milele amini

    Mdau USA

    ReplyDelete
  12. Aisee wajameni hako kasupu kana majani duuuuuuu sasa chef unatulisha majani kama mbuzi duhhh ila inaonekana imesimama kweli poa poa nafungua ka blog kako sasahivi na leo niangalie maujanja gani nitafanya familia ifurahi.

    Baba George

    ReplyDelete
  13. Kaka umeoa? ni swali la msingi sana pls pls nijibu

    MS.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...