Home
Unlabelled
msosi wa pasaka na chef issa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
miyeyusho tu.
ReplyDeleteMungu akulinde kijana wetukwa somo la bure unalotupatia kweli unajituma sana na tunafaidika sana sana
ReplyDeleteMama Irine
KINAMAMA UMETUKOMBOA SANA TU NA MBONA RECIPE HUJAWEKA? TUNASUBIRI KWA HAMU SANA PLS PLS
ReplyDeleteKweli kujitolea ni moyo mungu ndio atakulipa kazana professional hii si mchezo na toka michuzi amekutambulisa nakufatilia sana tu maendeleo yako inaonyesha wewe kijana unajuhudi sana na unaielewa sana fani yako hukulazimishwa usilegeze kama kwa mafakio zaidi chakula katika bloga yako kipo mahali pake nakubali na ninzsifia sana tu.
ReplyDeleteMzee JP Douglas
INAMAANA WEWE NI MPISHI AU CHEF MI SIELEWI TOAFUTI YAKE NI NINI? NA HICHO NDIO CHAKULA GANI?
ReplyDeleteMwananyamala
Asalaam alaykhum ankal misosi hii ni kwa pasaka tu au tunaweza pika siku yeyote maana tusije pika tukachekwa.
ReplyDeleteMdau Canada
CHEF ISSA UKO JUU KAZA BUTI ACHA MANENO YA WAVIMBA MACHO HAO HUWEZI KUWAKWEPA HASILANI ANGALIA USTAARABU WAKO KAZI YAKO NI NZURI NA UJUZI NI WAKO KOMAA MDOGO WANGU MOLA ATAKULINDA
ReplyDeletelEE COREA
Happy Easter Chef Issa be blessed always
ReplyDeleteHongera sana chef issa kwanza nilichelewa kukutumia pongezi katika ile ushindi wakonwa zile sanamu za chocolate tuanjivunia kuwa na vinjana kama wewe katika ulimwengu huu wa ushindani kua mvumilivu panga mipango yakosafi uendelee kufanya makubwa zaidi nafurahi san blog yako ya chakula hasa upande wa maelezo maana ni kimatumbi halisi na kinaeleweka safi sana siku hizi nakula chakual safi sana mke wangu anafanya mabo ya maana kweli.
ReplyDeleteMdau Mbezi
CHEF ISSA NAKUZIMIA SANA TU NITAKUPATAJE? SEMA POPOTE ULIPO NIJE JAMANI MHHHHHHHHH?????????
ReplyDeleteMISS DSM
kazi hii unalipwa au unajitolea maana sio kawaida? je wewe ni mtanznia halisi? watanzania tumezoea kugawana umaskini sio kusaidiana elimu wewe na ankal mhhh ok nawatakia pasaka njema na wema wenu uendelee milele amini
ReplyDeleteMdau USA
Aisee wajameni hako kasupu kana majani duuuuuuu sasa chef unatulisha majani kama mbuzi duhhh ila inaonekana imesimama kweli poa poa nafungua ka blog kako sasahivi na leo niangalie maujanja gani nitafanya familia ifurahi.
ReplyDeleteBaba George
Kaka umeoa? ni swali la msingi sana pls pls nijibu
ReplyDeleteMS.....