Juu na chini anaonekana Princess Maxima wa Uholanzi akikata utepe kuashiria uzindua wa jengo la benki ya NMB tawi la Airport katika hafla iliyofanyika jijini Dar leo. Kulia ni Mwenyekiti wa bodi, Meshack Ngatunga na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Ben Christiaanse.
Princess Maxima akikata akifunua kitamba kuzindua wa jengo la benki ya NMB tawi la Airport katika hafla iliyofanyika Dar leo. Kulia ni Mwenyekiti wa bodi, Meshack Ngatunga na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Ben Christiaanse.
Kiongozi wa bendi ya Machozi, Judith Wambura Isambai Mbibo a.k.a Lady Jaydee akitumbuiza na bendi yakde wakati wa uzinduzi wa tawi la benki ya NMB katika Julius Nyerere Airport, Dar




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...