Makamu wa rais Dk. Ali Mohamed shein akimpongeza Rais Bingu Mutharika wa Malawi baada ya kumeremeta na bibi Callesta katika uwanja wa taifa wa Civo mjini Lilongwe usiku wa kuamkia leo. Hapo ni wakati wa mnuso
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein na mai waifu wake Mama Mwanamwema Shein kushoto, Rais Bingu Mutharika wa Malawi na mai waifu wake wakiongoza libeneke wakati wa mnuso wa Sherehe hiyo katika Viwanja vya Ikulu mjini Lilongwe usiku wa kuamkia leo. Picha na mdau Amour Nassor wa Ofisi ya Makamu wa Rais

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Sheikh Yahya 'alitabiri' hili.

    ReplyDelete
  2. Kumbe Dr. Shein analiweza rhumba.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. Hongera Rais Bingu wa Mutharika kwa kutafuta mwenza wa size yako na sio kama wale wanaotafuta vitoto halafu vikawaendesha mchaka mchaka.

    Mungu awape maisha ya furaha.

    ReplyDelete
  4. Congratulations Pres Bingu and Madame Callista. May your home be filled with love and happiness. Everyone deserves someone.

    ReplyDelete
  5. What a lovely wedding....

    ReplyDelete
  6. Siku hizi hakuna haja ya kukimbilia kuoa. Unasubiri unashika wadhifa mkubwa ndio unao.

    Dubo

    ReplyDelete
  7. huu ndio uzuri wa bara la afrika hata ukitumia mali za umma kwa kujisherehesha hakuna atake uliza... mambo mswano

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...