
Kikundi cha Wainjilisti na Wavumbuzi wa Mambo ya Kale (archeologist) kutoka China na Uturuki wamesema kuwa wameyapata mabaki ya vipande vya mbao katika Mlima Ararat ulioko Mashariki mwa Ururuki.
Wavumbuzi hao wanasemakuwa kipimo cha kung'amua umri wa vitu kwa kitaalam, 'carbon dating' kinathibitisha kuwa mabaki hayo yana umri wa miaka 4,800 - muda ambao unashabihiana na muda unaosomeka katika vitabu vya dini na historia kuwa ndipo safina hiyo ilipoelea juu ya maji.
Mmojawapo wa wachambuzi hao, Dk. Yeung, amekanusha taarifa kuwa inawezekana hayo ni mabaki ya shughuli za kibinadamu wa hivi karibuni kwa kusema kuwa shughuli za kibinadamu hazijathibitika kuwepo katika eneo hilo lenye mwinuko wa futi zipatazo 11, 000.
Habari Zaidi
Mdau, Very interesting. Nakujulisha kuwa maelezo ya Safina ya Nabii Nuhu yako pia katika Kurani Takatifu. In fact, Sura ya saba ya Quran Tukufu inaitwa Sura ya (Nabii) Nuhu. Thanks for sharing the info. Mdau wa Vitabu Vitakatifu.
ReplyDeleteCORRECTION!!!!!Smahani sana.......
ReplyDeleteMimi ndiye niliyeposti comments ya kwanza. Sura ya Nuhu SIYO ya Saba katika Kurani Tukufu: Sura ya Nabii Nuhu ni ya 71 katika Qurani Tukufu. To err is human...Mdau wa Vitabu Vitakatifu.
Afadhali ulivyo sahihisha maana Qur ani haitakiwi kupungwa wala kuzidisha Kuh hiyo historia ya Nabii Nukhu radhi ya llah ng anhuu ni historia nziti na yenye mvuto mkubwa nawakia kila kheri wagunduzi soon tutapata ukweli wa kila jambo
ReplyDelete