Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Idd Kipingu akikabidhi kombe la Klabu Bingwa ya Taifa ya mpira wa kikapu kwa nahodha wa Savio ambayo imeshinda vikapu 63 dhidi ya 54 za JKT.
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Idd Kipingu akifunga rasmi rasmi mashindano ya Klabu Bingwa ya Taifa ya mpira wa kikapu yaliyomalizika leo kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa. Savio imeshinda 63 dhidi ya pointi 54 za JKT
Wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya Savio wakifurahia kombe la ubingwa baada ya kuifunga JKT katika mchezo wa fainali ya Ligi ya klabu bingwa ya taifa uliochezwa leo kwenye Uwanja wa ndani wa Taifa, Dar es Salaam. Savio imeshinda kwa pointi 63-54 dhidi ya JKT



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...