Familia ya Bw na Bi.Msabila Kassembo wa Mbezi beach Tangi bovu inatoa shukurani za dhati kwa ndugu,jamaa na marafiki wote walioshiriki ktk kuwafariji na kuwezesha kumzika mtoto,mume,baba,mdogo,kaka yao mpendwa Fundikira Msabila Kassembo baada ya kifo chake kilichotokea huko Mafinga Iringa tarehe 28 Feb 2010 na kuzikwa Mbezi beach Tangi bovu tarehe 2 March 2010.
Mwenye Enzi Mungu mwingi wa rehema na ukarimu atawalipa kwa ukarimu wenu inshallah ! mliouonesha baada tu ya kupata taarifa za msiba huu.
Mnakaribishwa nyote ktk Duwa na kisomo
kitakachofanyika nyumbani kwa wazazi wake Mbezi beach,
Tangi bovu siku ya
Jumamosi tarehe 10 April 2010
Jumamosi tarehe 10 April 2010
Ina lilahi wa ina ilaihi rajiun !
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...