Marehemu Habiba Kawawa Maleko

Familia za Maleko na Kawawa zinatoa shukrani zao za dhati kwa viongozi mbalimbali wa dini na serikali, wanasheria, ndugu, jamaa, marafiki, majirani, uongozi na wafanyakazi wote wa mfuko wa Bima ya Afya kwa jinsi mlivyoshirikiana nasi katika kipindi cha msiba wa mpendwa wetu Habiba Kawawa Maleko.
Mlitufariji kwa faraja zote, mkajitoa kwa hali na mali hadi kufanikisha mazishi ya mpendwa wetu ambaye ilimpendeza Mungu atutangulie sisi sote tuliobaki. AHSANTENI SANA.

Ibada ya shukrani itakuwa tarehe 18/4/2010 Usharika wa Wazo hill (KKKT) kuanzia saa 3.30 asubuhi, na baada ya misa mnakaribishwa nyumbani kwa marehemu Tegeta. KARIBUNI SANA.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. tutakukumbuka sana Habiba, mungu ailaze roho yako mahali pema peponi amin

    ReplyDelete
  2. Huyo Habiba ndo yule mtot wa marehemu Kawawa na dada yake Zainab Kawawa? Jamani! Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi AMINA

    ReplyDelete
  3. Poleni sana. Huu msiba uliniuma sana. VIFO VYA UZAZI VITAISHA LINI TANZANIA!!!!!!!!!!!!!!!1Habiba alikuwa rafiki wa kila mtu Weruweru regardless na status yake.

    ReplyDelete
  4. Innalillahi wainna ilayhi rajiun Mungu amlaze pema peponi marehemu alikuwa ni mtu mzuri sana na nilisoma nae Weruweru naukumbuka upole na ucheshi wake.RIP Habiba

    ReplyDelete
  5. maikini habiba. rest in peace my girl. ulikuwa mdada mkarimu sana tulipokuwa kibosho girls.so caring. hukujali wewe ni mtoto wa kawawa.

    ReplyDelete
  6. It's very hard to say goodbye my sweet heart. My dear sister and best friend ever, why did l love you so much that l even forgot there was a day for us to depart? ...... It's me, your everloving best friend & lil' sissy Zainab (please rest in peace)

    ReplyDelete
  7. jamani ndio huyo huyo wink dadake Zainab, yaani uliuma sana huu msiba ila hatuna jinsi maana sote njia yetu ni moja, cha msingi tujiweke tayari maana hatujui siku wala saa!!! RIP.

    ReplyDelete
  8. it's hard to say goodbye sweet heart. will love you always

    ReplyDelete
  9. RIP Habiba,
    Yours was a life WELL lived,
    Once a friend, ALWAYS A FRIEND

    ReplyDelete
  10. U will be missed Habiba.moyo wako wa imani na upendo tutakukumbuka siku zote.RIP.

    ReplyDelete
  11. RIP mother Habiba-tutakukumbuka. Ex-Kibosho..

    ReplyDelete
  12. Nakukumbuka Habiba tulipokuwa weruweru ulikuwa rafiki mkubwa wa pamela(pole pam) na rafiki wa wote pia,bila kujali u mtoto wa mkubwa.Rest in piece ;amina

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...