Home
Unlabelled
enzi za mwalimu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Picha nimeipenda sana,naomba mdau ulituma taja mwaka ambao Mwalimu alikuwa akihutubia,pia ulikuwa ni mkusanyiko wa kazi ,kampeni,ziara ya kikazi,alishakuwa rais or ?
ReplyDeleteJamani mwenye picha zaidi za Mwalimu zinazo onyesha matukio mbalimbai atume,hata sie vijana tujifunze machache kutoka kwa Mwalimu,kama video tape,DVD,or website or link yeyote ambayo naweza kuona picha hizo nitashukuru sana, kwani nafsi yangu itaburudika saaaannaaaaa tu,ngoja niwaudhi mafisadi-Zidumu fikira za Mwalimu Nyerere,
habari za mwalimu sio ngeni na picha zake sio ngeni! mimi nataka kujua habari za hao kina rupia na bibi titi tuu!bila shaka picha inatuonyesha wamefanya mambo mengi tuu katika nchi hii tupeni bari zao! au tukijua barabara ya bibi titi tuu inatosha?
ReplyDeleteMzaramo!
NYERERE WHERE ARE YOU ONE OF THE GREATEST SONS OF AFRICA WHERE ARE YOU???
ReplyDeleteMAFISADI WANAMALIZA NCHI YAKO BABA TUNAKULILIA SANA HUKO ULIPO NA MUNGU AIWEKE ROHO YAKO MAHALI PEMA .
AMINA.
Hizo classics pictures tuwekewe makumbushoya taifa zitasaidia kusoma history ya uhuru wa nchi yetu
ReplyDeleteSababu alikuwa hana mpinzani wakati huo! vile vile kulikuwa na kulazimishwa kwenda kwenye hadhara kama hizo kutoka makazini, mashuleni mpaka majumbani usipohudhuria utamkoma bosi wako au mjumbe wa nyumba kumi ambao mara nyingi hawa walikuwa TANU/CCM damuuu!
ReplyDelete