Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta akiongoza kikao cha kamati ya Uongozi ya Bunge kilichofanyika leo jumapili tarehe 11 April, 2010 kupanga mambo mbalimbali yatakayojadiliwa katika Mkutano wa 19 wa Bunge unaotarajia kuanza Jumanne tarehe 13 Aprili na Kumalizika tarehe 23 Aprilii 2010.
(Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Seminars have became part and parcel of waheshimiwa's source of income. As a results, they are now being used to enrich few elites at the expense of the majority. It's only a fool who would believe that these seminars are geared towards alleviating our problems. What I am fervently asking, from my fellow Wananchi, is to vote these people out in November.

    ReplyDelete
  2. Nilizania ni simu yangu ndio haiwezi kufungua page za nyuma. Ila sasa hivi nafikiri sijui ni setting zako mpya au sijui ni nini. Kumbukumbu hapo zamani ilikua mswano lakini sasa hivi hamna kitu. Usipojaliwa kuingia kwa blog yako na kuona ulichopost siku hiyo hiyo au kilichopo kwenye front page basi tena......Nikiweka kumbukumbu inakuja za mwezi uliopita au za mwezi huu mwanzoni hazipo tena.....Ni settings zako mpya au unatumia host mwingine manake....shida tupu. Post za april zinakuja hizi hizi kwenye fron page nothing more...aghhhhhh sorry but I had to vent.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...