
Familia Ya Mmbando wa GARE, Lushoto, inasikitika kutangaza kifo cha kijana wao mpendwa Advocate Mmbando Fransic Michael, kilichotokea siku ya Jumamosi tarehe 17/4/2010 saa nne usiku katika hospitali ya Burhan.
Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwake mwananyamala. Mwili wa Marehemu Advocate Mmbando Francis Michael utaagwa leo saa kumi jioni katika hospitali ya muhimbili na safari ya kusafirisha mwili wa marehemu itaanza saa moja asubuhi kesho siku ya Jumanne kwenda nyumbani kwao GARE Lushoto, Tanga.
Mazishi yatafanyika siku ya Jumatano 21/4/2010 saa saba mchana.
Marehemu alikuwa akifanyakazi katika KITENGO CHA SHERIA CHA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA)
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE, AMEN
we gonna miss u bro. may da almight rest your soul in enternal peace
ReplyDelete