Jumuiya ya Watanzania Reading, inasikitika kuwantangazia kifo cha Mama Mzazi wa Mchungaji Mlozi wa Readingkilichotokea Leo huko Iringa Tanzania 09/04.2010,kama desturi fikisha mchango wako kwa viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Reading ,
au
jitahidi kufika kwa mfiwa ili tumpatie faraja.
Mahali; 34 Alan Place
Mahali; 34 Alan Place
Reading
RG30 3BW
Tel:0118 9594395/07578463537
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...