KWA MARA YA KWANZA MSANII T.I.D ATAKAMUA NDANI DUBLIN IRELAND AKISHIRIKIANA NA MSANII MWINGINE MKONGWE SOLO THANG
KATIKA UKUMBI WA MELLODY 122 CAPEL STREET D 1...
SIKU YA IJUMAA HII 9TH APRILL.....
9 PM TILL DOWN!
KIINGILIO 15 € KILA KICHWA.
WOOTE MNAKARIBISHWA!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mnatumia vibaya neno mkongwe, sasa kama Solo Thang mkongwe, utasemaje kuhusu akina Gurumo.

    ni haya matumizi mabaya ya lugha yanaturudisha nyuma, kama ni mwanamuziki hodari aitwe hodari, lakini aliyeanza 2000s hawezi kuwa mkongwe.

    ReplyDelete
  2. jamani siyo TILL DOWN,ni 'TIL DAWN halafu tuwasikie mnamcheka KANUMBA

    ReplyDelete
  3. itabidi nilipe yuro thalathini...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...