MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA
Tunapenda kuwafahamisha Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwamba kuanzia Tarehe 01/05/2010 Ofisi ya Kanda ya Mashariki iliyokuwa katika Jengo la Life House, itahamishiwa Upanga, Mtaa wa Magole Kitalu Namba 141 mkabala na Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (NGOME) na Hospitali ya Tumaini
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza
Imetolewa na:

Mkurugenzi Mkuu
Mfuko wa Taifa wa Bima ya S.L. P 11360
Kurasini Bendera Tatu
Dar Es Salaam
Simu Na: 2133964/9
Mfuko wa Taifa wa Bima ya S.L. P 11360
Kurasini Bendera Tatu
Dar Es Salaam
Simu Na: 2133964/9
email: www.nhif.or.tz
Annet Killian Tehe tehe!!!
ReplyDeleteBalozi asante kwa taarifa.
ReplyDeletePale city centre pamejaa sana inabidi taasisi zianze kusogea nje kidogo.