Home
Unlabelled
wabunge watembelea mahakama morogoro na mvomero
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
my dad mwenye shati la mauwa,thank u michuzi,sijamuona since 2006
ReplyDeleteSijui kama nitakuwa nakosea ila ni vizuri mazuri yasemwe, napenda utendaji kazi wa huyo mheshimiwa Incharge wa mahakama ya mkoa wa morogoro, anajali sana na kutatua matatizo ya watu. Nakumbuka pia miaka ya 2007 kulikuwa na hakimu pale monduli kwenye mahakama ya wilaya ila sijui kwa sasa yuko wapi, nafikiri kuna haja ya kujali mchango wa Mahakimu wanaofanya vizuri.
ReplyDeleteKAMA ILO JENGO NDIYO MAHAKAMA YA MKOA WA MOROGORO BASI LINATIA SANA AIBU. MIAKA KARIBU HAMISINI YA UHURU BADO MAHAKAMA YA MKOA INAKAA KWENYE JENGO LA HALI YA CHINI KAMA HIYO.
ReplyDeleteMUNGU IBARIKI TANZANIA.