Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana(katikati) akitoa ufafanuzi kwa wahariri wa vyombo vya habari hapa nchini juu ya hali ya vyombo vya habari kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2010 na jukumu la vyombo hivyo katika kuitangaza Tanzania kabla ya Mkutano wa Biashara wa Dunia unaotarajiwa kuanza mwezi ujao hapa nchini. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulikia usajili wa magazeti Raphael Hokororo( kushoto) na Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulikia habari Sozy Mahmoud (kulia) Baadhi ya wahiri kutoka vyombo vya habari mbalimbali hapa nchini wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana(hayupo pichani) katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) wakati akitoa utaratibu wa kujisajili kwa waandishi wa habari watakaoshiriki katika kuandika habari za Mkutano wa Biashara wa Dunia mwezi ujao hapa nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...