SIMBA WAMEONGEZA BAO DHIDI YA YANGA KWA GOLI SAFI ALILOFUNGA MUSSA HASSAN MGOSSI KATIKA DAKIKA YA 53 AMA DAKIKA KAMA 8 HIVI BAADA YA MAPUMZIKO.
HIVYO HIVI SASA SIMBA 2 NA YANGA 1
IKUMBUKWE MUSSA HASSAN MGOSI WA SIMBA NA MRISHO NGASSA WA YANGA WANACHUANA KUPATA ZAWADI YA MFUNGAJI BORA BAADA YA KUWA WAMEFUNGANA KWA MABAO 14-14 KILA MMOJA WAO KABLA YA GEMU HILI.
HIVYO HADI SASA MGOSI ANAONGOZA KWA BAO MOJA.
GOOAAAL!
TUKIWA MITAMBONI YANGA WANASAWAZISHA BAO SASA HIVI KUPITIA KWA GERRYSON TEGETE. HIVYO NGOMA NI 2-2 SASA....
mkuu gemu live hapa
ReplyDeleteMichuzi Thnaks for keeping us on our toes with the result. Tunasubiri picha za mechi. Mdau kutoka Ottawa
ReplyDelete