Home
Unlabelled
bei ya MADAFU leo kwa mujibu ya maduka ya nanihii..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hobo hizi bei zimepandaje? jon mashaka alikuwa wapi? Kwa waganga wa kienyeji nini?
ReplyDeleteDuh Pound si mchezo iko juu.
ReplyDeleteMdau -Ukerewe!!!
Halafu tunasikia hapa watu ohhh walio nje wanasaidia uchumi wa tanzania kwa kuleta pesa nyumbani. Shilingi imepanda kidogo tu hao watu wanaanza kulalamika.
ReplyDeleteDaima wanataka iwe ukibadilisha pound iwe unapata pesa za madafy tele, ili wazazi waone wanaleta pesa nyingi, daima hawataki shilingi ipate nguvu, sasa huko ndio kusaidia tanzania au kusaidia wazazio waweze kuhimili maisha katika hali ngumu ya uchumi wa tanzania?
Nimependa maelezo ya tatu! kula tano mdau!
ReplyDeletehivi kufikia december siitakuwa $1 2500/= kwa speed hii halafu mnatuambia tuhifadhi hela zetu benki za nyumbani, hata kama ni uzalendo siweki hela zangu bank za madafu
ReplyDeleteKutokana na mazoea ya nyuma, pound imeshuka.
ReplyDeleteHapa ughaibuni dola hupanda na kushuka thamani kutokana na nguvu za biashara za dunia, lakini utakuta bongo shilingi inashuka thamani tu, haipandi kabisa. Yaani, nilivyoondoka, ilikuwa mia tano tu, Duhh kasheshe.
ReplyDeleteeboo!!
ReplyDeletebiashara gani hii?jamani badilisheni ktk MABENKI