Home
Unlabelled
buti mpya toka malawi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hahahaaaa hii kali.yote tisa DUREX ndo mwisho wa yote.hata uwe Rough vipi kwenye majambozi kitu hakipasuki.
ReplyDeleteMdau - Ukerewe!!!
Hili ni jina tu ambalo huko Malawi pengine ni la kawaida tu. Nina hakika haya majina ya SALAMA na DUME ya condom zinazotumika Bongo ni matusi makubwa katika baadhi ya jamii za Kiafrika. Nakumbuka kuna siku Michuzi alipost picha ya basi la Shule ya Sekondari USENGE ya Kenya, jina ambalo lilizua mjadala mkubwa humu. Kwa Wabongo ni ishu kubwa kutokana na jinsi wanavyolielewa neno hilo, lakini kwa Wakenya ni neno la kawaida tu.
ReplyDeleteManyuchi in chichewa (kimalawi) inamaanisha asali. Utamu mtupu hapo....usipime! but zina harufu mbaya!
ReplyDeleteHii condom itachochea sana ngono. Maana muonekano wenyewe tu unakuongeza hamu ya ngono. Haya bwana naomba zije tu tutazitumia moja baada ya nyingine.
ReplyDeleteWabongo bwana!!! Sasa hapo cha kushangaza ni nini?? Neno laweza kuwa la kawaida ktk jamii moja na tusi ktk jamii nyingine! Kama una rafiki mnigeria muulize neno kuma Lina maana gani kwao!! Ni neno la kawaida huko Nigeria! Mi napiga box na wanigeria cku moja ktk maongezi Yao kwa lugha Yao nikasikia neno kuma nikawauliza Hilo neno linamaana ya vagina kwa Tanzania walishangaa sana kwao wao neno Zuri tu!! Lakini mi ckushangaa sana tukaendelea na box!!!
ReplyDelete...hizi BIDHAA FEKI hizi zitamaliza waTZ wengi... yani watu wanawaza ngono tu hata kujali hata uo ubora wa asilimia 80 haupo yeni hakuna aliyestukia spelling mistake kwenye hii bidhaa... sasa sijui hata expire date watu huwa wanaangalia.. duh kwa mwendo huu sijui..
ReplyDeletesizani kama twazihitaji au ni muhimu kuingizwa nchini...kama ni condom zipo tele tayari, za ndani na imported pia! muimu ni kwamba watu twazitumia???na kama twazitumia, ni ipaswavyo?
ReplyDeleteningeshukuru sana kuzipata product za nyumbani maana huku nilipo asia pacific product zao huwa hazinitoshi, zinabana sana yaani kama plaizi na zinaumiza sana yani jamaa wamedesign kwa ajili yao tu hawatufikirii na sisi wafrika na wazungu
ReplyDeleteTehe teh tee te!
ReplyDeleteSemeni nyie VIAZI. Miye MUHOGO wala sisemi. Nakaa kimyaa.
Hilo jina tu, hivi ni vitu vya India. Unaingiza tu, pwaaaaaaaaaa, kitu kimekatika unarudi nyumbani huku huzuni kabao moyoni. Hivi vitu vya India bwana ni balaa kwelikweli. Bora nitumie puto la dukani lakini si vitu vya India, China, Korea, na Ufilipino....hapo sipo kabisaaaaaaa!
ReplyDeleteHuu ni uchafuzi wa Mazingira.
ReplyDelete(US Blogger)
Harufu mbaya tena wakati wanasema chocolate flavoured? Au maana yake nini? I also wonder at what time watu wanazinusa to get that harufu!
ReplyDeleteMmmmmh...MBIJE
ReplyDelete