Issa,
attached is a first glimpse of Cloey , one of 5 rhinos flown into the Serengeti from South Africa under the rhino repatriation program, she is 4 years old and weighs approx 1 tonne.Bado yupo ndani ya boma, atakaa hapo kwa wiki 6 mpaka azoee mazingira ya Serengeti.
Mdau Sauda a.k.a i-msafiri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2010

    soooo cute. kiumbe cha mwenyezi mungu. karibu tanzania. sisi wote wanyama na binadamu tumeumbwa na mwenyezi mungu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2010

    Many animals were airlifted from newly independent african countries in the 60's to salvage them from the massive slaughtered that ensued when the latter declared Open Season for huntin (a.k.a harvesting) wild animals.

    During colonialism, wild animals and national parks were for the enjoyment of wazungu, so opening up the hunting was seen as a way of redressing past wrongs

    http://www.youtube.com/watch?v=uaMhJPKyUxo

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 25, 2010

    This is great! welcome back Black rhino. It is a great move and big up Paul Tudor Johns, Singita Grumeti Fund, Fzs and all the Wadau for this achievements.
    TANAPA msituangushe hawa faru wasije wakaperish na ujangili tena!

    Mdau - Serengeti.

    ReplyDelete
  4. Mdau, BloomsburyMay 25, 2010

    Jina lake ni 'Chloe' na siyo 'Cloey'. Ila cha kushangaza ni je, kuna haja gani ya kuendelea kumuita hili jina la kizungu jamani? Mi nashauri abadilishiwe jina, kuna majina mengi mazuri ya Kiafrika. Apewe jina la kiMasai

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 25, 2010

    MUWACHUNGE VIZURI SASA,TANZANIA HAIKUWA NCHI YA KUAGIZA FARU TOKA NCHI NYINGINE..HIYO NI KWASABABU WANAUWAWA SANA..MIE SIJUI NI NINI KAZI ZA ASKARI PORI,MWISHOWE MTASIKIA TUNAAGIZA TEMBO,NA SIMBA TOKA SOUTH AFRIKA...MDAU

    ReplyDelete
  6. SA had no blak ryno. they were taken from tz; about 300 rynoz. not hapy to c only 5 came bak!!!

    anywyz; karibu tena nyumbani faru. lakini kuwa mwangalifu tanapa wasije kukupoteza kama ministri ilivyopoteza handsam boi wetu.

    ReplyDelete
  7. hii ni habari njema. Tunasubiri uzoee mazingira na kuachiwa huru ktk uwanda wa serengeti ili tuje kukuona. Niliwahi kumuona Faru Ngorongoro crater mwaka jana.
    copy hii link ujikumbushe mtundiko huo husika;
    http://tembeatz.blogspot.com/2009/12/ni-nadra-kukutana-nae.html

    tembeatz.blogspot.com

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 25, 2010

    oooh i love you baby black rhino!!welcome home and be safe jamani
    i will come n see yu next utalii season

    so what about other hundreds of our black rhinos in SA??mtawarudisha lini?
    but for our tanzania security on animals mh im scared bcoz thz wild nyamazz tunakula sana kila siku!!they r killing our animals and LOLIONDO IS UNDER WAARAB and their kings eat thos e meat..mshindwe!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 25, 2010

    SASA WATANZANIA TUAMKE NA KUKATAA KABISA KUHUSU "PROFESSIONAL HUNTERING".KILICHOTOKEA KWA FARU NDICHO KITATOKEA KWA WANYAMA WENGINE WOTE.HIVI NI LINI TANZANIA ILIFANYA SENSA YA WANYAMA WA PORI?.NA KWA NINI TANZANIA TUNAKUWA VIPOFU ETI TUNAINGIZA PESA ZA KIGENI KWA KUUA WANYAMA.?WAKIISHA KAMA ILIVYOKUWA KWA FARU TUTAINGIZA PESA ZA KIGENI KWA NJIA GANI?.REAL SUSTAINABLE ECONOMY IS NOT TO KILL WILD ANIMALS,BUT TO KEEP THEM ALIVE.
    ENVIRONMENTALIST
    USA

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 25, 2010

    "oooh i love you baby black rhino!"???? sogea hapo kumkiss uone anavyokulavu pia!

    Halafu huyo anayesema abadilishwe jina kutoka la kizungu hadi la kimasai, ndio mtazidi kumchanganya huyu kiumbe. Hapo alipo hata hajaizoea mbuga bado then umbadilishe jina, atawatimua nyinyi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...