FESTIVAL YA WABONGO NCHINI FINLAND "FEST AFRIKA"IMEMUALIKA MWANAMZIKI DEKULA KAHANGA NA BENDI YAKE MJINI TAMPERE KUTIMUA VUMBI... TAREHE 02/ JULAI/ 2010...

FESTIVAL HIYO AMBAYO IMEWAHI KUALIKA WANAMUZIKI KAMA TABIA MWANJELWA, JAH KIMBUTE NA BENDI YA NGOMA AFRIKA (FFU)NI MOJA YA FESTIVAL KUBWA KATIKA NCHI ZA SCANDINAVIA.
VUMBI KAIAMBIA GLOBU YA JAMII KWAMBA SASA ANA MPINI MPYA NA WADAU WA HELSINKI WAKAE MKAO WA KULA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...