Marehemu Mama Mary Donata Watondoha enzi za uhai wake.




Mkuu naomba msaada wako unirushie hili tangazo la kumbukumbu ya mwaka mmoja toka mama yetu mpendwa kututoka.

Ni mwaka mmoja itakapofika tarehe 29 may 2010 toka ututoke hapa duniani na kututangulia kunako haki,tunakuombea kheri na baraka tele upumzike kwa amani,na mapenzi yako wa watoto wako,wajukuu zako na ndugu zako,jamaa na marafiki kamwe uwezi sahaulika na daima utakumbukwa milele.

Kutakuwa na misa ya kumbukumbuka mama yetu Mary Donata Watondoha kwenye kanisa katoliki la ukonga na misa itakuwa saa kumi na mbili asubuhi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2010

    Jamani mama Maria: Huyu alikuwa mbunge kweli aliyetambua kazi yake. Lala pema mama yetu

    ReplyDelete
  2. Dear mama,

    It seems like only yesterday,
    Angels came and took you away,
    In fact it's been one long year,
    Memories of you still bring tears,
    You are on our minds and in our hearts,
    Even though we had to part.

    You always had a smile to share,
    Time to give,
    And time to care.
    A loving nature,
    A heart of gold,
    You were the best this world could hold.

    Today, tomorrow,
    Our whole lives through,
    We will always love and remember you.

    I love you Mama and always will,
    I did in life,
    In death I do still.
    Each morning I start with a broken heart,But carry on daily playing my part.
    On you Mom I knew I could depend,
    You helped me along,
    If I walk in your footsteps,
    I'll never go wrong.

    The gates of memory never close,
    How we miss you no one knows.
    Wishing today as we have wished before, God could have spared you a few more years.

    I love you mama,

    Your loving daughter,

    Grace Watondoha Mbwete

    ReplyDelete
  3. Angelina BijuraMay 26, 2010

    Mama Mary Watondoha alikuwa mwalimu mkuu (headmistress) wangu katika shule ya sekondari ya wasichana Mtwara mwaka 1980-1983. Nimesoma habari za kifo chake, kwa masikitiko makubwa, na leo kumbukumbu yake kwenye michuzi. Mara ya mwisho nilikutana naye Dar mwaka 1999. Nitamkumbuka daima na naendelea kumwombea. She was such a character, waliokuwa Mtwara Girls watakubaliana nami - ametusaidia wengi kujenga maisha yetu, REST IN PEACE MAMA YETU.

    Poleni sana wafiwa!

    Angelina Bijura (Waryoba)

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2010

    Ukweli Mama Mary Watondoha namkumbuka kwani alinifundisha somo la Jiografia pale Mwenge Sec.- Singida miaka ya 1970. Hakika wengi tulipitia katika mikono yako na tutakukumbuka sana. Mungu awape faraja wana familia na Ailaze Roho yake mahala pema peponi.Mnzava, E.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...