Mwenye any info za kunisaidia kupata used tractors (Ford or Massey Ferguson) please anisaidie. Pia napenda kupata recommendations za kujua aina gani ni nzuri kwa matumizi ya nyumbani Tanzania kwa vigezo vya kudumu na upatikanaji wa spare parts.
Nitumie webs na chochote kitakachonisaidia
Budget yangu ni below $5000 excluding shipping
Email yangu ni misodo_2@hotmail.com
Noamba msaada wenu
Nitumie webs na chochote kitakachonisaidia
Budget yangu ni below $5000 excluding shipping
Email yangu ni misodo_2@hotmail.com
Noamba msaada wenu
Mdau Misodo
shindwa mwenyewe pia hapa
ReplyDeletehttp://www.tradecarview.com/
Tradecarview hawana tractors hizo ama sijui namna ya ku-search
ReplyDeleteNaomba utaalam zaidi
Na if you can please search kisha ni-email products
Asante kaka Michuzi
Asante wadau pia kwa maoni
http://www.carjunction.com/infoasp2/tanzania.asp
ReplyDeletehttp://www.carjunction.com/infoasp2/tanzania.asp
ReplyDeleteif u want to buy from tanzania post your email address here I heard or i over heard my parents are selling some of there tractors all used I know they do have massey ferguson,john deer,ford. if your very serious let me know
ReplyDelete